Msanii wa Vichekesho, Idris Sultani na mwenzake wameachiwa huru baada ya upande wa Jamhuri kushindwa kuleta shahidi zaidi ya mara mbili...
LAZARO MAMBOSASA AONDOLEWA DSM, WAMBURA KAMANDA KANDA MAALUM DSM
Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro amefanya mabadiliko madogo kwa baadhi ya viongozi ndani ya Jeshi la Polisi ambapo amemhamishi...
SHERIA YA PF3 IANGALIWE UPYA “ATIBIWE KWANZA”
“Faini sawa lakini zaidi elimu, muanzishe mfumo wa kieletroniki ambao utasomeka nchi nzima ili dereva akifanya kosa moja lisomeke nchi nzi...
TANZANIA KUANZA KUTUMIA 5G
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt Faustine Ndugulile amesema kuwa Wizara yake iko mbioni kupeleka Bungeni muswada utakaowez...
INDIA MAAMBUKIZI YA COVID-19 YAFIKIA MILIONI 25
Maambukizi Nchini India yamefikia Milioni 25, ikiwa ni Taifa la pili ulimwenguni kufikia idadi hiyo baada ya Marekani. Visa vipya 263,533 ...
“USAJILI LAINI KWA VIDOLE NI KIINI MACHO?” RAIS SAMIA AHOJI
Rais Samia Suluhu Hassan amesema licha ya kufanyika zoezi la usajili laini za simu kwa kutumia vidole, vitendo vya utapeli na wizi mitandaon...
TBS YAAGIZA WATUMIAJI WA VIPIMO VYA AFYA KUVIHAKIKI
Kuelekea Siku ya Vipimo Duniani Mei 20, Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewataka watumiaji wa Vipimo katika sekta ya afya nchini kuhak...
MAAGIZO YA WAZIRI MKUU “KAMILISHENI UJENZI WA MACHINJIO YA VINGUNGUTI”
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameziagiza Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kuhakikisha wanakamilisha ...