} });
 
KESI YA ZUMA KUANZA KUSIKILIZWA LEO
KESI YA ZUMA KUANZA KUSIKILIZWA LEO

KESI ya ufisadi dhidi ya Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma inatarajiwa kuanza leo, baada ya kuahirishwa mara kadhaa. Zuma, 79, alid...

Read more » Soma zaidi »

MWINYI ATEUA MKUU WA SHULE YA SHERIA ZNZ
MWINYI ATEUA MKUU WA SHULE YA SHERIA ZNZ

Leo May 26, 2021  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk. Hussein Ali Mwinyi  amefanya uteuzi wa Mkuu wa Skuli ya Sheria ...

Read more » Soma zaidi »

NDEGE YA KIJESHI YA MAREKANI YAANGUKA RUBANI AFARIKI
NDEGE YA KIJESHI YA MAREKANI YAANGUKA RUBANI AFARIKI

  Rubani mmoja ameripotiwa kufariki kutokana na ajali ya ndege ya kijeshi iliyotokea ilipokuwa ikipaa kutoka kituo cha Jeshi la Anga cha Nel...

Read more » Soma zaidi »

VIDEO: “ASKARI KAMATA HUYU” KILICHOWAKUTA WALIOINGIA KWENYE 18 ZA AWESO
VIDEO: “ASKARI KAMATA HUYU” KILICHOWAKUTA WALIOINGIA KWENYE 18 ZA AWESO

Waziri wa Maji,  Jumaa Aweso   ameagiza kuvunjwa kwa Jumuiya ya Maji Kijiji cha Berege Wilayani Mpwapwa huku akitoa onyo la ubadhilifu wa fe...

Read more » Soma zaidi »

MAKONGORO AKUMBUKA ENZI ZA UBUNGE ARUSHA “WALINIPENDA”
MAKONGORO AKUMBUKA ENZI ZA UBUNGE ARUSHA “WALINIPENDA”

Mkuu wa Mkoa wa Manyara,  Makongoro Nyerere   amesema alichaguliwa kuwa mbunge wa Arusha mwaka 1995 kwa uwezo wake  si kubebwa kwa sababu ni...

Read more » Soma zaidi »

VIDEO: POLISI WALIVYOMKAMATA MWANAMKE AKIWA NA KIWANDA CHA KUTENGENEZA POMBE FEKI
VIDEO: POLISI WALIVYOMKAMATA MWANAMKE AKIWA NA KIWANDA CHA KUTENGENEZA POMBE FEKI

  J eshi la Polisi mkoani Arusha linamshikilia mwanamke mmoja mkazi wa Sakina kwa tuhuma za utengenezaji wa pombe feki,Kamanda wa polisi mko...

Read more » Soma zaidi »

“KUWENI MAKINI MNAKOPAKI MAGARI” KAMANDA WAMBURA
“KUWENI MAKINI MNAKOPAKI MAGARI” KAMANDA WAMBURA

 \ Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam  Camilius Wambura  amewataka Wakazi wa Dar es salaam kuchukua tahadhari kwenye maeneo wan...

Read more » Soma zaidi »

GESI YA SUMU YAUA 7 CONGO BAADA YA VOLKANO
GESI YA SUMU YAUA 7 CONGO BAADA YA VOLKANO

  Siku chache baada ya mripuko wa volkano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, kiwango cha gesi hatari kimeendelea kuongezeka kati...

Read more » Soma zaidi »

ONYANGO NA TADDEO LWANGA WAANZA MAZOEZI SIMBA
ONYANGO NA TADDEO LWANGA WAANZA MAZOEZI SIMBA

Wachezaji wa Simba,  Joash Onyango   na  Taddeo Lwanga  wameanza mazoezi na wachezaji wenzao baada ya hali zao kiafya kuimarika baada ya kup...

Read more » Soma zaidi »

WALICHOZUNGUMZA RAIS SAMIA NA MWANA WA KIFALME “SAFARI ZA MOJA KWA MOJA”
WALICHOZUNGUMZA RAIS SAMIA NA MWANA WA KIFALME “SAFARI ZA MOJA KWA MOJA”

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan   amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia Mw...

Read more » Soma zaidi »

SHAKA AFANYA MAZUNGUMZO NA WASIRA “ULIJIBU MAPIGO YA UPINZANI”
SHAKA AFANYA MAZUNGUMZO NA WASIRA “ULIJIBU MAPIGO YA UPINZANI”

  Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka ametembelewa na kufanya mazungumzo na Mjumbe wa Halmashauri Kuu...

Read more » Soma zaidi »

VIDEO: BASHIRU KWA MARA YA KWANZA BUNGENI ATEMA CHECHE, ASHANGILIWA
VIDEO: BASHIRU KWA MARA YA KWANZA BUNGENI ATEMA CHECHE, ASHANGILIWA

  Mbunge wa Kuteuliwa,  Dkt Bashiru Ali  amesimama bungeni leo kwa mara ya kwanza tangu ateuliwe kuwa Mbunge na kuchangia mjadala wa Wizara ...

Read more » Soma zaidi »

BUNGE LIVE: KIPINDI CHA MASWALI NA MAJIBU - 26/05/2021
BUNGE LIVE: KIPINDI CHA MASWALI NA MAJIBU - 26/05/2021

Read more » Soma zaidi »

OPERESHENI KOMESHA UHALIFU, IGP SIRRO KUONGOZA MARPC
OPERESHENI KOMESHA UHALIFU, IGP SIRRO KUONGOZA MARPC

  Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imetangaza Operesheni Maalumu lengo ni kukomesha uhalifu ambao umeanza kurejea taratibu baada ya muda mre...

Read more » Soma zaidi »

MAKALLA “MAJAMBAZI SALIMISHENI SILAHA”, WAMBURA AKAMATA 20
MAKALLA “MAJAMBAZI SALIMISHENI SILAHA”, WAMBURA AKAMATA 20

  Mkuu wa Mkoa wa DSM,  Amos Makalla   amewataka majambazi na wahalifu kujisalimisha Polisi na kukabidhi silaha zao huku akitangaza opereshe...

Read more » Soma zaidi »

HABARI KUBWA KWENYE MAGAZETI YA LEO JUMATANO 26 MEI, 2021
HABARI KUBWA KWENYE MAGAZETI YA LEO JUMATANO 26 MEI, 2021

Read more » Soma zaidi »
 
Top