Wapo Watu wengi wenye umri mkubwa Duniani na na mmoja wao ni Bibi Kizee kutoka nchini Nepal anayeitwa Batuli Lamichhane aliyezaliwa March 19...
MAMADOU SAKHO AKUBALI UBALOZI WA UTALII TANZANIA
Mchezaji wa timu ya mpira wa miguu wa Klabu ya Crystal Palace inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) na Mchezaji wa timu ya taifa ya Ufara...
WATU WENGI WAVUTA SIGARA WAPO NCHI ZA KIPATO CHA CHINI NA KATI
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa takwimu za vifo vinavyotokana na uvutaji wa sigara ambapo mwaka 2017 watu Milioni 8 walifariki kutok...
YANGA WAACHANA NA CARLINHOS
Kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Angola na Klabu ya Yanga Carlos Sténio Fernandes Guimarães do Carmo maarufu kama Carlinhos amevunja mkat...
RAIS SAMIA AMUONDOA KAMANDA MPYA DSM AMTEUA KUWA DCI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Poli...
ESTER BULAYA: "ACHENI MKOSOLEWE NA VYOMBO VYA HABARI (VIDEO)
“Tabia ya kufungia vyombo vya habari, tukubali tukatae vyombo vya habari ni CAG mwingine, tusitake tu kutolewa habari za kufurahisha lazima ...
VIDEO: BAADA YA KUTEULIWA NA RAIS, DCI MPYA AONGEA MBELE YA IGP
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Nyakoro Sirro amewavalisha cheo na kuwaapisha SACP Camilius Mwongoso Wambura na ACP Hamad Khamis ...
MAKALA "MADIWANI EPUKENI MIVUTANO ISIYO NA FAIDA" - MAKALA
Mkuu wa Mkoa wa DSM, Amos Makalla, amelitaka Jiji la Ilala kuhakikisha mradi wa machinjio ya kisasa Vingunguti unaanza kufanya kazi ifi...
"BILIONI 6 ZIMETENGWA KWA AJILI YA NYUMBA ZA VIONGOZI" - WAITARA
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mwita Waitara, amesema kuwa kwa mwaka wa fedha 2020/2021 serikali imetenga shilingi bilioni...
WIZARA YA HABARI YAVUKA LENGO UKUSANYAJI 2020/2021
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imevuka lengo la ukusanyaji mapato kwa kukusanya jumla ya kiasi cha Sh.1, 080,109,491 ambazo...