Ukweli ni kwamba kujipima nguvu kabla ya mechi kubwa ni muhimu! Wikiendi hii inaweza kukupa ushindi mkubwa sana endapo ukifuata mechi za k...
ILIPOFIKIA KESI YA SETH WA IPTL “DPP MPYA ANASUBIRIWA”
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisuru imeelezwa kuwa, mazungumzo ya makubaliano (Plea bargaining) ya kumaliza kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili ...
ADAM ADAM WA JKT ASAJILIWA AL WAHDA
Klabu ya Al Wahda ya nchini Libya, imemsajili mshambuliaji wa Tanzania, Adam Adam, mwenye umri wa miaka 24. Kabla ya usajili huo, Adam Ada...
"WAAJIRI WAPENI WANAFUNZI NAFASI ZA FIELD" PROF. NDALICHAKO
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako ametoa wito kwa waajiri nchini kutoa nafasi kwa wanafunzi wa vyuo vya u...
UCHAGUZI JIMBO LA KONDE JULAI 18, 2021
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza Ratiba ya uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Jimbo la Konde, Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba na Ka...
KAGAME ATUMA SALAMU ZA POLE KIFO CHA JPM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan July 2, 2021 amepokea ujumbe kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Rwanda Paul Kagame...
WAZIRI MKUU: "MAKONTENA YENYE MAKINIKIA YAMESHAUZWA"
Bungeni jana katika kipindi cha maswali Kwa Waziri Mkuu, Majaliwa amewatoa hofu Watanzania kuhusiana makontena yenye makinikia ambayo yame...
MWANAFUNZI ADAIWA KUNYONGWA NA MPENZI WAKE
Mwili wa Petronel Mwanisawa (22) ambaye alikuwa Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika Chuo Kikuu cha Iringa aliyefariki dunia kwa madai ya ...
TBC WATOA MAFUNZO KWA WAZALISHAJIWA VIUNGO "VINAHITAJIKA NDANI NA NJE YA NCHI"
Azma ya Serikali ni kuhakikisha nchi inajitosheleza katika uzalishaji wa bidhaa kwa soko la ndani na hata nje ya nchi, hivyo viungo vinavyoz...