} });
 
LIVE: RAIS SAMIA ANAHUTUBIA, AKIWA MWANZA MUDA HUU
LIVE: RAIS SAMIA ANAHUTUBIA, AKIWA MWANZA MUDA HUU

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Leo Juni 15 amezungumza na Vijana wa Mwanza kwa uwakilishi wa vijana wote Ta...

Read more » Soma zaidi »

AWESO ATENGUA KIGOGO WA MAJI SENGEREMA
AWESO ATENGUA KIGOGO WA MAJI SENGEREMA

  WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso amemtengua Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Sengerema, Mhandisi Robert Lupoja ...

Read more » Soma zaidi »

MECHI ZA EURO 2020 KUENDELEA WIKI HII
MECHI ZA EURO 2020 KUENDELEA WIKI HII

Timu nyingi zimerusha karata zao kwenye michezo ya kwanza ya michuano ya EURO 2020, wa kufungwa, amefungwa, wakutoka sare vile vile.   Mwezi...

Read more » Soma zaidi »

RC HAPI AMSHUKURU RAIS SAMIA
RC HAPI AMSHUKURU RAIS SAMIA

MKUU wa mkoa wa Mara, Ally Hapi, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, kwa kuendelea kuwaamini vijana na ...

Read more » Soma zaidi »

LIVE: RAIS SAMIA AWAITA WABUNGE, SHIGONGO, TABASAMU NA WENGINE KUZUNGUMZA KABLA HAJAHUTUBIA
LIVE: RAIS SAMIA AWAITA WABUNGE, SHIGONGO, TABASAMU NA WENGINE KUZUNGUMZA KABLA HAJAHUTUBIA

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Leo Juni 15 amezungumza na Vijana wa Mwanza kwa uwakilishi wa vijana wote Ta...

Read more » Soma zaidi »

ERIKSEN AANDIKA UJUMBE WA SHUKRANI
ERIKSEN AANDIKA UJUMBE WA SHUKRANI

  Mchezaji wa Inter Milan na timu ya Taifa ya Denmark Christian Eriksen Jumamosi iliyopita alianguka uwanjani na kupoteza fahamu kwa tatizo ...

Read more » Soma zaidi »

RAIS WA ZAMANI WA ZAMBIA ALAZWA
RAIS WA ZAMANI WA ZAMBIA ALAZWA

RAIS wa kwanza wa Zambia, Dk. Kenneth Kaunda amelazwa katika Hospitali ya Maina Soko jijini Lusaka kufuatia maradhi yanayomsumbua kwa siku k...

Read more » Soma zaidi »

MSUKUMA ASHAURI FAINI YA BODABODA ZIWE ELFU ISHIRINI
MSUKUMA ASHAURI FAINI YA BODABODA ZIWE ELFU ISHIRINI

MBUNGE wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku Musukuma, amempongeza Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba, kwa kupunguza tozo kwa madereva bodabod...

Read more » Soma zaidi »

ALIYEMUUA GEORGE FLOYD AHOFIA VISA JELA
ALIYEMUUA GEORGE FLOYD AHOFIA VISA JELA

  OFISA mzungu wa Polisi wa Minneapolis nchini Marekani ambaye alimuua kikatili na kinyama Mmarekani mwenye asili ya Afrika, George Floyd, D...

Read more » Soma zaidi »

RAIS SAMIA "SENGEREMA HALMASHAURI HAIFANYI VIZURI, HAIPO VIZURI KWENYE MATUMIZI YA FEDHA"
RAIS SAMIA "SENGEREMA HALMASHAURI HAIFANYI VIZURI, HAIPO VIZURI KWENYE MATUMIZI YA FEDHA"

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia  Suluhu jana ameendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Mwanza ikiwa ni  siku ya pili  na hiz...

Read more » Soma zaidi »

KAZI IMEANZA RC DAR ES SALAAM ATANGAZA VITA NA MTANDAO WA WEZI WA MAFUTA GHAFI
KAZI IMEANZA RC DAR ES SALAAM ATANGAZA VITA NA MTANDAO WA WEZI WA MAFUTA GHAFI

Mkuu wa Mkoa wa  Dar es salaam , Amos Makalla jana ametangaza Vita na Mtandao wa wezi wa mafuta ghafi kupitia bomba kuu la mafuta  Kigamboni...

Read more » Soma zaidi »

HABARI KUBWA KWENYE MAGAZETI YA LEO JUMANNE 15 JUNE, 2021
HABARI KUBWA KWENYE MAGAZETI YA LEO JUMANNE 15 JUNE, 2021

Read more » Soma zaidi »
 
Top