BARAZA Kuu la Umoja wa Mataifa hii leo limepitisha azimio la kumchagua katibu mkuu wa sasa wa Umoja huo Antonio Guterres kuongoza kwa awamu ...
KESI ZA TALAKA ZAONGOZA
MASHAURI ya kudai talaka miongoni mwa wanandoa yanaongoza katika idadi ya kesi zinazofunguliwa na kusikilizwa katika mahakama maalum inayote...
“MARUFUKU KUTEMBEA USIKU KUANZIA SAA MOJA USIKU”
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema kwakuwa Watu wameshindwa kutekeleza maagizo ya kutotembea mitaani kuanzia saa tatu usiku hadi saa 1...
CCTV CAMERA KUFUNGWA JIJINI DODOMA
Serikali imedhamiria kufunga kamera za usalama katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dodoma kwa lengo la kupunguza uhalifu ambao umeanza kusha...
KIM AKIRI KOREA KASKAZINI INAKABILIWA NA NJAA
Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong-Un amekiri nchi yake kukabiliwa na baa la njaa, akisema hali ya uhaba wa chakula inazidi kuwa mbaya wakati...
KATIBU BARAZA LA KATA JELA MIAKA MITATU KWA RUSHWA
Mahakama ya wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu imemhukumu Katibu wa Baraza la Kata ya Binza wilayani humo, Daud Willison Elias kwenda jela mia...
VIDEO: WAZIRI MKUU ASIMAMISHA KAZI VIGOGO WAWILI
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ameeleza kutoridhishwa na utendajikazi wa Mamlaka ya Maeneo Maalum ya Uweke...
RAIS SAMIA ATANGAZA SIKU 7 ZA MAOMBOLEZO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametangaza siku 7 za maombolezo ya kitaifa kufuatia kifo cha Rais wa kwanza wa...
VIDEO: SABAYA AANZA KUSOMEWA MASHTAKA “WALIVAMIA DUKA,WALIPORA FEDHA NA SIMU”
Upelelezi wa kesi moja kati ya tano zinazomkabili aliyekuwa Mkuu wa wilaya Hai Lengai ole Sabaya umekamilika na ameanza kusomewa maelezo y...