Mbunge wa Mbogwe (CCM), Nicodamus Maganga amewataka Wabunge kuwaeleza wananchi ukweli kuwa mishahara na posho wanazolipwa hazitoshi. Magan...
VIDEO: KODI YA MAJENGO KWA KUTUMIA LUKU SIO YA MPANGAJI
Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba amesema mfumo wa ulipaji wa kodi ya majengo kwa kutumia mita za LUKU haitawahusu wapangaji bali...
“ALIETENDEWA VIBAYA NA ASKARI WA HIFADHI ALETE USHAHIDI” NDUMBARO
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Damas Ndumbaro amesema hadi sasa kuna askari 61 wamefukuzwa kazi baada ya kuthibitika kuwa wamekuwa wakiw...
IDADI VIFO AJALI YA MOROGORO VYAFIKIA 9
Idadi ya vifo ajali iliyotokea usiku wa Juni 21 baada ya magari matatu kugongana ikiwemo Toyota Coaster, Toyota Cresta na lori imeongezeka...
TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA KUTOA MAFUNZO KWA WATUMISHI 500
Na Faustine Gimu Galafoni - Dodoma TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), idara huru ya Serikali Jamhuri ya Muungano wa Tanzani...
WALIOCHANJWA NDIO WATAKAORUHUSIWA KUTAZAMA KOMBE LA DUNIA
Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh Khalid bin Khalifa bin Abdulaziz Al Thani, amesema watu waliopata Chanjo dhidi ya COVID19 pekee ndio wataruhusi...
RAIS WA UFILIPINO ATISHIA KUWAFUNGA WANAOKATAA CHANJO
Rais Rodrigo Duterte wa Ufilipino ametishia kuwafunga jela watu watakaokataa kupata Chanjo dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19 wakati Taifa hilo...
CARDI B KUONEKANA TENA KWENYE FAST AND FURIOUS 10, 2022
Ni Headlines za mkali wa Hip Hop Belcalis Marlenis Almánzar maarufu kama Cardi B ambae baada ya kuonekana Fast and Furious msimu wa t...
FATMA KARUME KUUTETEA UWAKILI WAKE
Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam imetengua uamuzi wa Kamati ya Maadili ya Mawakili, ambayo ilimfuta Uwakili, Fatma Karume na...
VIDEO: WATANO WAFARIKI KWENYE AJALI YA MAGARI MATATU KWA MPIGO
Watu watano wamefariki kwenye ajali iliyotokea usiku huu eneo la nanenane mkoani Morogoro na kuhusisha magari matatu ambayo ni Basi dogo a...