Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki mahojiano na Wahariri wa Vyombo vya Habari kuhusu siku 100 tan...
“SERIKALI INA MPANGO KUANZISHA UTALII WA KISWAHILI”
Wizara ya Maliasili na Utalii imesema kuwa inampango mkakati wa kuanzisha utalii wa lugha ya Kiswahili kwenye maeneo yote yenye kumbukumbu k...
MAKALLA AMPA MAAGIZO JOKATE “NDANI YA WIKI NIKUTE DALADALA HAPA”
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Temeke Jokate Mwegelo kuwaelekeza Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardh...
BREAKING: MDUDE NYAGALI AACHIWA HURU
Leo June 28, 2021 Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imemuachia huru Kada wa CHADEMA, Mdude Nyagali. Nyagali alikuwa akituhumiwa kwa kosa la kus...
“TUMEANZA MAZUNGUMZO KUFUFUA BANADARI YA BAGAMOYO” RAIS SAMIA
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema serikali imeanza mazungumzo ya kufufua mradi wa bandari ya Bagamoyo pamoja na kufufua mradi wa makaa ya ...
RIPOTI: MATUMIZI YA BANGI YAMEONGEZEKA MARA NNE
Ripoti mpya iliyotolewa na ofisi ya Umoja wa Mataifa inayohusika na madawa na uhalifu UNODC imeonya kwamba idadi ya watu wanaotumia mihadara...
JAMBAZI SUGU MTUKUTU ‘BIG SPENDER’
Mwaka 1996, Jambazi Sugu Mtukutu Cheung Tze-Keung maarufu ‘Big Spender’ (Mtumia Pesa ) kutoka HongKong alimteka Victor Li Tzar-Kuoi ambaye...