Katika raundi ya 16 ya Mashindano ya 16 ya Soka ya Uropa (EURO 2020), Ubelgiji iliishinda Ureno 1-0 na kutinga robo fainali. Ubelgiji na b...
TAARIFA YA UN KUHUSU MASHAMBULIZI SOMALIA
Maelfu ya watu walilazimika kuhama makaazi yao kutokana na ghasia zilizotokea hapo jana nchini Somalia. Katika taarifa iliyotolewa kwenye ak...
LIBYA YAIOMBA MOROCCO KUUNGA MKONO UCHAGUZI
Waziri Mkuu wa Libya Abdulhamid Dbeibeh alikutana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Habib al-Maliki huko Rabat, nchini Morocco, alikokwend...
INDIA YATUMA ZAIDI YA WANAJESHI 50,000 KWENYE MPAKA CHINA
India imepeleka zaidi ya wanajeshi 50,000 kwenye eneo la mpaka wake na China katika miezi ya hivi karibuni. Kulingana na taarifa za Bloomb...
STEFAN LÖFVEN ATANGAZA KUJIUZULU USWIDI
Waziri Mkuu wa Uswidi Stefan Löfven alitangaza kujiuzulu mnamo Juni 21, akisema kwamba hangeweza kupata kura ya imani bungeni. Löfven alitan...
MARUFUKU YA UENDESHAJI PIKIPIKI AFGHANISTAN
Marufuku ya muda iliwekwa kwa matumizi ya pikipiki katika mji mkuu wa Kabul nchini Afghanistan. Akizungumza na waandishi wa habari, Msemaj...
WAASI WA ADF NCHINI DRC, WAWAUA RAIA 14
Jeshi la serikali FARDC wakipambana na waasi wa ADF NALU Mashariki mwa DRC Zaidi ya Raia 14 wameuawa na zaidi ya nyumba 20 kuteketezwa na wa...
SERIKALI YA ESWATINI YAKANUSHA TAARIFA ZA MFALME MSWATI III KUKIMBIA NCHI
Serikali ya Eswatini, imekanusha taarifa za Mfalme Mswati III, kulimbia taifa hilo la kusini mwa Africa kufuatia makabiliano ya wanajeshi ...
HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CCM KUKUTANA DODOMA
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda kuujulisha umma kuwa Jumanne tarehe 29 Juni 2021 kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa kitafanyika chini ya...
IFIKE MAHALI WEMA UMUAMKIE MOBETO
K UTANGULIA sio kufika! Ndio unavyoweza kusema. Mrembo wa taifa, Tanzania Sweetheart Wema Sepetu alitangulia kuchomoka kwenye umaa...
BREAKING: JACOB ZUMA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIEZI 15 JELA
Mahakama ya Kikatiba nchini Afrika Kusini leo Juni 29, 2021 imemuhukumu Rais Mstaafu Jacob Zuma kifungo cha miezi 15, kwa kosa la kudharau m...
WALLACE KARIA MGOMBEA URAIS PEKEE TFF
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) leo Juni 29, 2029 imempitisha Wallace Karia kuwa mgombea pekee wa nafasi ...
MBUNGE WA ZAMANI BWEGE ATEMBELEA BUNGENI “HALINA UCHANGAMFU”
Mbunge wa Zamani, Selemani Bungara maarufu kama Bwege leo ni miongoni mwa wageni waliotembelea bunge kujionea shughuli mbalimbali za bunge. ...
“TUNATAKA TUJUE IDADI YA VIJIJI, ILI TUJUE VISIVYO NA MAJI” WAZIRI AWESO
Wizara ya Maji imesema inafanya mageuzi makubwa kwenye suala la maji na kwamba inataka kujua idadi ya vijiji vyote vilivyopo Tanzania, na ...
“NAMSHUKURU KIKWETE ALIANZISHA SAFARI YANGU YA SIASA” WAZIRI MKUU
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua rasmi mpango wa tatu wa maendeleo ya taifa wa miaka mitano huku akiwahidi watanzania kuwa mambo yote...
ETHIOPIA YASITISHA MAPIGANO NA TIGRAY
Serikali ya Ethiopia imetangaza sitisho la mapigano katika jimbo la Tigray, miezi minane baada ya mzozo mbaya uliosababisha mafaa mengi, w...
“WEKENI MAZINGIRA BORA YA UDHIBITI NA USHINDANI WA BIASHARA” MKUMBO
Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo (MB) ameitaka Tume ya Ushindani nchini – FCC kuweka mazingira bora ya udhibiti wa ushind...
MWENGE WATILIA SHAKA UJENZI MAABARA YA SEKONDARI ANTHONY MTAKA
Kiongozi wa mbio za Mwenge maalumu wa Uhuru 2021, Luten Josephine Mwambashi, ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)...
VIDEO: KAULI YA RAIS SAMIA JUU KATIBA MPYA, MIKUTANO YA HADHARA
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kumpa muda aimarishe uchumi wa nchi ili aweze kuangalia suala la Katiba Mpya na m...
VIDEO: WAGONJWA WA CORONA TANZANIA WAPO ZAIDI YA 100
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ina zaidi ya wagonjwa 100 wa Covid-19 na kuwataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari ili idadi ...
TBS WAWEKA WAZI UMUHIMU WA KUTUMIA MAABARA ZILIZO NA CHETI CHA ITHIBATI
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeziasa Taasisi za serikali au binafsi kutumia huduma za maabara zilizopata cheti cha ithibati ya Umah...
SERIKALI ITALIPA VYOMBO VYA HABARI BILIONI 6
Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali itavilipa vyombo vya habari deni la zaidi ya Sh6 bilioni baada ya kufanya uhakiki wa deni hilo a...