Uongozi wa Yanga, umewashukuru mashabiki wao kwa ushirikiano waliouto wakati wa mkutano mkuu na mchezo wao dhidi ya watani zao Simba, ulioma...
WANACHAMA 17 NHIF MBEYA MBARONI
Wanachama 17 wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) mkoani Mbeya wanashikiliwa na polisi wakituhumiwa kuisababishia Serikali hasara ya Sh ...
MZOZO WAIBUKA MAZISHI YA RAIS KAUNDA
Baadhi ya wanafamilia ya Rais wa zamani wa Zambia, Dkt. Kenneth Kaunda wamekwenda kortini kujaribu kuzuia mazishi yake katika uwanja wa ki...
AWESO AMGOMEA JEN. MWAMUNYANGE
WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso amekataa ombi la Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira DAWASA, Jenerali Mstaafu Davis M...
PASTA ASHEREHEKEA KIFO CHA TB JOSHUA
PASTA mmoja wa Uganda alisherehekea kifo cha Nabii Temitope Balogun Joshua, almaarufu TB Joshua, akimtaja marehemu kama “mchawi mkuu baran...
MIILI YA WATU WALIOKUFA MAJI YAOKOLEWA
Miili ya watu watano akiwemo mwanafunzi wa kidato cha nne waliokuwa wakihofiwa kufa maji Wilayani Singida imepatikana na kuopolewa baada ya ...
NAY WA MITEGO: SITAKI TENA KUONYESHA MALI ZANGU
Nay wa Mitego amesema amejifunza mambo mengi hivyo hataki kuyaonyesha maisha yake kwenye mitandao ya kijamii kama ilivyokuwa mwanzo akifany...
SERIKALI MPYA ISRAELI YAPATA PIGO LA KWANZA KUBWA
Serikali mpya ya Israel imepata pigo kubwa la kwanza Bungeni leo baada ya kushindwa kurefusha sheria yenye utata inayowazuia Wapalestina a...
VIDEO: WAZIRI AFAFANUA MATUMIZI YA BIL. 600 ZINAZOTOZWA KWENYE SIMU
Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI imetolea ufafanuzi wa fedha zaidi ya Tsh. Bilioni 600 zinazotozwa kwenye mitandao ya simu, namna zin...
NDEGE YA URUSI YAANGUKIA BAHARINI IKIWA NA WATU 28
Ndege ya Urusi iliyowabeba Watu 28 imepoteza mawasiliano leo na kuangukia Baharini umbali wa KM 15 hadi 25 kutoka Airport na taarifa zinad...