HANS Poppe Zakaria, Mwanachama wa Klabu ya Simba amesema kuwa hajapendezwa na tabia ya Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara kusikika akimlalam...
SERIKALI YADHAMIRIA KUPUNGUZA VIFO VYA MAMA NA MTOTO BUCHOSA
Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo amesema serikali imedhamiria kupunguza au kumaliza kabisa vifo vinavyotokana na uzazi baada...
BUCHOSA WAPOKEA TSH BIL 2 KUTENGENEZA BARABARA VIJIJINI
MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo amesmema Serikali kupitia wakala wa barabara vijiji (TARURA) umepeleka kiasi cha Sh 2bilioni ...
NDUGAI: TOZO NI HALALI, UNAYEPINGA TUPE NJIA MBADALA YA KUPATA FEDHA
KUFUATIA mijadala mingi kuhusiana na tozo ya miamala ya simu hususani kwenye mitandao ya kijamii, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa T...
LEBRON JAMES MCHEZA KIKAPU WA KWANZA KULIPWA TRILIONI 2.3
Ni headlines za staa anaechezea mpira wa kikapu aitwae Lebron James ambae time hii anaziandika rekodi katika mchezo huo kwa kuingiza dolla...
VIDEO: RC ARUSHA AKIWA MASHAMBANI APIGA MARUFUKU MIKUSANYIKO
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh.John Mongella amewataka wananchi wa Mkoa wa Arusha kuachana na mikusanyiko isiyo ya halali na kutumia barako...
ALBUM YA ‘DONDA’ YAWAUNGANISHA RAPPER JAY Z NA KANYE WEST
Usiku wa Kuamkia leo imefanyika Listening party ya album mpya ya Kanye West iitwayo Donda kwenye Uwanja wa Mercedes Benz huko Atlanta...
WAGONJWA WA CORONA WAFIKIA 682 TANZANIA, MISONGAMANO MARUFUKU
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dr. Dorothy Gwajima amesema kuanzia July 22,2021 amepiga marufuku shughuli ...
TRENI YAPATA AJALI MOROGORO IKIWA NA ABIRIA 1370 ‘DEREVA AMEFARIKI, KUNA MAJERUHI’
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema Treli ya Abiria imepata ajali saa tatu asubuhi July 22, 2021 baada ya Lori kuigonga Treni h...
TONY BLAIR AKUTANA NA RAIS SAMIA “TAASISI YAKE IPO TAYARI KUSAIDIA CHANJO”
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, tarehe 22 Julai, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu w...
LIPUMBA APATA CHANJO YA CORONA
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amepata chanjo ya kwanza ya kujikinga na ugonjwa wa corona. Profesa Lipum...
ZUMA ARUHUSIWA KUMZIKA MDOGO WAKE
Rais wa zamani wa Afrika kusini Jacob Zuma amepewa ruhusa ya kushirikia maziko ya mdogo wake Michael anayetarajiwa kuzikwa leo mchana. “Kw...
“HII KODI TUMEIWEKA KWA AJILI YA WENYE UWEZO” ZUNGU
Hoja kuhusu viwango vya tozo za miamala ziko juu ni kweli yaani Laki moja inatafutwa kwa mbinde halafu ada inakatwa mara tatu, ndio maana Ra...
VIDEO: WAZIRI WA AFYA ACHANJWA AWASIHI WATU KUPATA CHANJO YA CORONA
Waziri wa Afya Zanzibar Nassor Mazrui amethibitisha kuchanjwa na chanjo aina ya SINOVAC ambayo ni msaada kutokea China na kipaumbele cha...
FREEMAN MBOWE ASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI TUHUMA ZA UGAIDI
Jeshi la Polisi limesema Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe anashikiliwa kwa tuhuma za kula njama ya kufanya vitendo vya kigaidi ikiwep...