Wiki iliyopita, Tanzania ilipokea dozi zaidi ya Milioni moja ya chanjo ya Johnson & Johnson kutoka Marekani kupitia mfumo wa Covax. Wiza...
TAMKO LA JESHI LA POLISI KUFUATIA FISI ALIEUWA MTOTO MKOANI TABORA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Safia Jongo amesema fisi amevamia makazi ya Watu na kumnyakua Mtoto wa mwaka mmoja na nusu kisha kukim...
FISI AUA MTOTO, AJERUHI WATATU
Mtoto wa mwaka mmoja na nusu, ameuawa na fisi ambaye pia amejeruhi watu watatu na mmoja akiwa na hali mbaya. Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
CHADEMA YADAI MBOWE KUUGUA AKIWA KITUONI
Chama Chama Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimelitaka Jeshi la Polisi kumpeleka hospitali mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe ili ...
CCM YAWAFUATILIA VIONGOZI WAKE WANAOPOTOSHA UMMA
Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimesema kinafutilia kwa makini mienendo ya baadhi viongozi wake ambao wamekuwa wakipotosha umma na kwenda kinyume...
DKT. MPANGO AWAPA ONYO WATUMISHI WA UMMA WEZI
Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango (watatu kushoto) akiweka jiwe la msingi Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini iliopo Manispaa ya ...
KOCHA YANGA AMKATAA BEKI WA AZAM
UNAAMBIWA kuwa Kocha wa Yanga Nassredine Nabi ndiye alieukataa usajili wa beki wa Azam FC, Yakubu Mohamed ambaye hapo awali alikuwa anahit...
BEKI MATATA AFUNGUKIA USAJILI WAKE SIMBA, YANGA
BEKI wa Kati na Nahodha wa Biashara United, Abdulmajid Mangalo , amesema kuwa Yanga bado wapo kwenye mazungumzo na uongozi wake. Mangalo am...
BREAKING: ALIYETUHUMIWA KUMTEKA MO DEWJI AACHIWA HURU
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemfutia kesi na kumwachia huru dereva taksi Mousa Twaleb aliyekuwa akituhumiwa kuhu...
YOUNG AFRICANS YAREJEA DAR KINYONGE (+PICHA)
Kikosi cha Young Africans kimewasili jijini Dar es salaam leo Jumatatu (Julai 26) Mchana kikitokea mkoani Kigoma kilipokua na shughuli ya ...
SERIKALI YAWATOA HOFU MABALOZI MAPAMBANO YA UVIKO 19
SERIKALI imewaeleza Mabalozi njia mbalimbali inazozitumia kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona ikiwa ni pamoja na kuridhia uingizwaji ...
MUKOKO TONOMBE AOMBA RADHI YOUNG AFRICANS
Kiungo kutoka DR Congo Mukoko Tonombe amewaomba radhi mashabiki na wanachama wa klabu ya Young Africans kufuatia adhabu ya kadi nyekudu al...
BENKI MPYA YA TCB YASHIRIKI MAONESHO YA BIASHARA NA TEKNOLOJIA YA MADINI SHINYANGA
Benki Mpya ya Serikali ya Biashara ya Tanzania (Tanzania Commercial Bank- TCB PLC) tawi la Shinyanga imeshiriki Maonesho ya Pili ya Biashara...
MAKAMU WA RAIS ARIDHISHWA NA UPANUZI WA BANDARI YA MTWARA
Makamu wa Rais Dr. Phillip Isidor Mpango ameridhishwa na utekelezaji wa mradi wa upanuzi wa Bandari ya Mtwara na maandalizi ya TPA kuhudum...
HERSI: TUNA KIKOSI KIPANA
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya ufundi ya Young Africans Hersi Said amesema ni matusi kusema Klabu hiyo haina Kikosi kipana na kusisitiza k...
KIWANGO CHA WATUMIAJI WA BANGI CHAONGEZEKA
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye ulemavu, Tixon Nzunda amesema kuwa, kiwango cha watumi...
RC MAKALLA ATOA MAAGIZO KUHUSU 'CORONA'
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla ameliagiza Jeshi la Polisi Mkoa wa Dar es Salaam kuhakikisha wanasimamia utekelezaji wa maagizo...
MAPYA ALIYOYASEMA SHOLO MWAMBA KUHUSU MUNA LOVE
Icon wa muziki wa Singeli Bongo Sholo Mwamba amesema Muna Love aache tabia ya kuchukua wavulana wadogo na kwenda kuishi nao kwani sifa hiyo ...
WAFANYABIASHARA MSIKIMBIE NCHI - WAZIRI NCHEMBA
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka wafanyabiashara waliokimbilia Nakonde nchini Zambia, kwa maelezo ya kuwa huko kun...
BIASHARA UNITED MARA YAMPIGIA HESABU NCHIMBI
Mshambuliaji wa Young Africans Ditram Nchimbi, huenda akajiunga na Biashara United Mara, baada ya kumaliza mkataba na ‘WANANCHI’. Nchimbi am...
ZAIDI YA ABIRIA 50 WATEKWA NYARA NA MAJAMBAZI
Zaidi ya abiria 50 wametekwa nyara na watu waliojihami kwa silaha nzito za kivita katika Jimbo la Sokoto nchini Nigeria. Mamlaka za usalama ...
SIMBA SC MAPUMZIKO WIKI MOJA
Meneja wa Kikosi cha Mabingwa wa Soka Tanzania Bara na Kombe la Shirikisho ‘ASFC’ Simba SC, Patrick Rweyemamu amesema baada ya wachezaji n...
BARBARA AKATA SHOMBO, ATOA NENO ZITO
Afisa Mtendaji Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara na Kombe la Shirikisho ‘ASFC’ Simba SC, Barbara Gonzalez amesema ni bora kutwaa taji...
LIVE AIRPORT: SIMBA WANATUA DSM na KOMBE LAO MUDA HUU Baada ya KUICHAPA YANGA
KIKOSI Cha Simba SC ambao ndio mabingwa wa kombe la Shirikisho mara 2 mfululizo na kombe la ligi kuu mara 4 mfululizo wanawasili jijini Da...
WANANCHI WASHANGAZWA NA KIJIJI KUKOSA ANGALAU NGUZO ZA UMEME
Na, Nicholaus Lyankando, Geita Wananchi katika kijiji cha Mgelele kata ya Isebya willayani Mbogwe wameshangazwa na kijiji chao kukosa hata...
"MARUFUKU KUCHIMBA 'DHAHABU' MLIMA KAPUTA" - WAZIRI BITEKO
Waziri wa Madini, Doto Biteko, amepiga marufuku shughuli za Uchimbaji wa Madini ya Dhahabu unaofanywa na wachimbaji wadogo katika eneo la ...
MBUNGE WA NYAMAGANA AWAPONGEZA WANANCHI WA NYAMAGANA
Mbunge Jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza Mhe. Stanslaus Mabula ametoa pongezi hizo kwa Wananchi wa Mtaa wa Nyakamanga kwenye ziara yake ya ...
MABINGWA ASFC WAANZA SAFARI YA DAR ES SALAAM (+PICHA)
Kikosi cha Mabingwa wa Kombe la Shirikisho (ASFC) 2021 Simba SC kimeanza safari ya kuelekea Dar es salaam kikitokea mkoani Kigoma kilipoch...
NEEMA YAISHUKIA LINDI, MTWARA NA RUVUMA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznania Dkt. Isdory Philip Mpango leo Julai 26, 2021 ataweka jiwe la Msingi katika Hospitali ya R...
RAIS AVUNJA BUNGE, KUMTIMUA WAZIRI MKUU
Rais wa Tunisia Kais Saied ametangaza kuvunja bunge la nchi hiyo na kumtimua kazi waziri mkuu wa nchi hiyo Hichem Mechichi Hatua hii imeku...