Wawakilishi wa Tanzania kwenye Michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAF , Klabu ya Biashara United Mara FC wamedhamiria kuwasilish...
Divine Radio Live
RIPOTI UCHUNGUZI VIFO VYA SAMAKI UFUKWENI
Wizara ya Mifugo na Uvuvi, kupitia kitengo cha Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI) kimetoa matokeo ya uchunguzi wa vifo vya sama...
HIVI NDIVYO MANARA ALIVYOONDOKA SIMBA
ALIYEKUWA msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara ameandika haya muda mchache baada ya Simba kutoa barua kuwa wameachana nae rasmi: Kila tuna...
MJANE AUAWA KISA MGOGORO WA MIRATHI
MWANAMKE mmoja aliyefahamika kwa jina la Emma Mfikwa umri (43) ameuawa kikatili kwa vitu vyenye ncha kali na mtoto wake wa kumzaa kutokana...
SHAHIDI KESI YA SABAYA AANGUA KILIO MAHAKAMANI “ALITAKA KUNIPIGA BASTOLA”
Shahidi wa sita wa Jamhuri katika kesi ya unyan’ganyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, ...
WAZIRI MKENDA ATOBOA SIRI JINSI MSHINDO MSOLA ALIVYOISAIDIA NCHI
Waziri wa Kilimo Mhe Prof. Adolf Mkenda akisisitiza jambo Ofisini kwake Jijini Dodoma leo tarehe 28 Julai 2021 wakati akizungumza na waandis...
TANZIA: MALCOM MASOUD KIPANYA AFARIKI DUNIA
MALCOM Ally Masoud Kipanya ni mtoto wa mtangazaji maarufu na mchora katuni, Masoud Kipanya na Sara Chande amefariki dunia leo Jumatano, Ju...
VIDEO: RAIS SAMIA KWA MARA YA KWANZA ANACHANJA CHANJO YA UVIKO-19
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa mara ya kwanza akizindua zoezi la utoaji wa chanjo ya UVIKO 19 ,...
KAULI YA HAYATI MAGUFULI INAPOTOSHWA – DKT. GWAJIMA
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima amesema kauli ya hayati Dkt John Magufuli kuhusu chanjo ...
CHATO KUFANYA TAMASHA LA UTALII KUMUENZI HAYATI MAGUFULI
Na Nicholaus Paul Lyankando - Geita Wilaya ya Chato iliopo mkoani Geita inatajia kufanya tamasha la utalii wa chato ili kumuenzi aliyekuwa...
WILAYA YA MASWA KUFIKISHA TANI 130,000 UZALISHAJI WA PAMBA MSIMU UJAO 2021/2022
Na Faustine Gimu Galafoni, Maswa - Simiyu. Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu imedhamiria kufikisha uzalishaji wa tani laki moja na elfu the...
CHANJO NI SALAMA,RAIS UMESONGA MBELE KISHUJAA’- WAZIRI WA AFYA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki uzinduzi wa chanjo ya Uviko 19 katika viwanja vya Ikulu, Jijin...
LORI LATEKETEA MOTO KWENYE MIZANI YA MPEMBA TUNDUMA MKOANI SONGWE
Lori la mizigo No.T 887 CWN lililokuwa likitokea Dar es Salaam - Tunduma limewaka moto na kuteketea likiwa kwenye mizani ya Mpemba mjini Tun...
MICHO AREJEA UGANDA, ASAINI MIAKA 3
Shirikisho la soka Ugandas FUFA limetangaza Milutin ‘Micho’ Sredojevic kuwa kocha mpya wa timu ya taifa kwa mkataba wa miaka miatatu (3) aki...
SAMIA AWATAKA WATANZANIA WAVUMILIE KAMATI YA KUTATHMINI TOZO
Rais Samia Suluhu amesema tozo za miamala ya simu zipo palepale lakini Serikali inakwenda kuangalia njia ya kulitekeleza, akiwataka Watanz...
MZEE WA UPAKO ASEMA HAYA KUHUSU CHANJO YA COVID-19
Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’ ametoa wito kwa Watanzania kuwa na imani na Serikali kuhusiana na ut...
CÔTE D'IVOIRE: ALASSANE OUATTARA NA LAURENT GBAGBO WAKUTANA KWA MARA YA KWANZA
Rais wa Côte d'Ivoire Alassane Ouattara alimkaribisha mtangulizi wake Laurent Gbagbo katika ikulu ya rais huko Abidjan Julai 27, 2021, w...
WAZIRI MKUU: CHANJO YA CORONA SIO LAZIMA
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali haijamlazimisha na wala haitamlazimisha mwananchi kuchanjwa...
WAZIRI MKUU APOKEA TAARIFA YA KAMATI KUCHUNGUZA MOTO SOKO LA KARIAKOO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Julai 28, 2021 amepokea taarifa ya Kamati ya Uchunguzi wa tukio la moto uliyotokea katika Soko la Kimataifa ...
BREAKING NEWS: HAJI MANARA AONDOLEWA SIMBA, ATANGAZWA KAMWAGA
BODI ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba leo Julai 28, 2021 kwa kauli moja, imeridhia matakwa ya Haji Manara ya kutokuendelea kuhudumu katika n...