Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufunuo lililopo Kimara Bonyokwa, Mchungaji Paul Bendera amewashukia baadhi ya viongozi wa dini wanaowashawishi wa...
MBUNGE ALIECHAGULIWA ZNZ KABLA YA KUAPISHWA AJIUZULU
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kimepokea kwa masikitiko barua ya kujiuzulu kwa Mbunge Mteule wa CCM Jimbo la Konde Sheha Mpeka Faki le...
MTIBWA SUGAR KUMSAJILI SAID MAKAPU
Tangu ameondoka Kocha Lucy Eymael katika kikosi cha Young Africans, Beki Said Juma Makapu amekuwa na wakati mgumu wa kupata nafasi ya kuchez...
GOR MAHIA, AFC LEOPARD ZALIMWA FAINI KENYA
Klabu za AFC Leopards na Gor Mahia zimekatwa alama tatu kila mmoja na kutozwa faini ya Kshs milioni 10 baada ya kugomea mchezo wao wa Ligi...
POCHETTINO AANZA KWA KIPIGO UFARANSA
Meneja wa Paris Saint-Germain, Mauricio Pochettino ameanza msimu wa 2021/22 kwa kichapo kutoka kwa Mabingwa watetezi wa Ligue 1, Lille wal...
ORODHA YA MWISHO UCHAGUZI MKUU TFF
Kamati ya uchaguzi ya Shirikisho la Soka nchini Tanzania TFF imetoa orodha ya mwisho ya wagombea nafasi za Urais na Wajumbe Kamati ya Ut...
AMUUA BABA YAKE MZAZI, KUMZIKA KIMYAKIMYA
Polisi Mkoa wa Rukwa inamshikilia kijana mmoja (35) mkazi wa Kata ya Chanji kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi, Thomas Mremi (85) na kumzi...
MAMA ANAYEKAMUA LITA 40 ZA MAZIWA YAKE MWENYEWE
Wakati baadhi ya wanawake wakiogopa kuwanyonyesha watoto wao kwa madai kuwa wataharibu muonekano wa matiti, hali ni tofauti kwa wakili Anast...
UCHAMBUZI: KOCHA LWANDAMINA HANA LA KUJITETEA
Azam FC tayari imefanya nyongeza ya wachezaji takribani watano katika kikosi chao, ukijaribu kutazama kile walichokuwa wanakifanya katika kl...
KABWILI AOMBA RADHI, AKIRI KUFANYA KOSA
Mlinda Lango wa Young Africans Ramadhan Kabwili amewaomba radhi, viongozi, mashabiki na wanachama kufuatia kuoneshwa kadi nyekundu kwenye ...
BITEKO ATOA SIKU 60 KUFUTWA LESENI ZISIZOFANYA KAZI
Waziri wa Madini Doto Biteko, ametoa siku 60 za kufuta leseni za uchimbaji wa madini zilizohodhiwa na wawekezaji kwa muda mrefu bila kuzitum...
KAMANDA WA POLISI ASIMAMISHWA KWA KUSHIRIKIANA NA HUSHPUPPI
Jeshi la Polisi Nigeria limemsimamisha kazi mmoja wa Polisi wake maarufu na wanaoheshimika baada ya jina lake kujumuishwa kwenye Wanigeria...
CHADEMA KUPINGA KESI YA MBOWE
Wakati Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika akitangaza kuwa wanakusudia kufungua kesi kupinga kukamatwa na kushtakiwa kwa Mwenyekiti wao, Fre...
OBAMA MMILIKI NBA AFRIKA
Chama cha Mpira wa kikapu Nchini Marekani (NBA) kimetangaza Rais Mstaafu wa nchi hiyo, Barack Obama kuwa sehemu ya wamiliki wa mradi wa ‘NBA...
PASSPORT YA WALIOCHANJWA CHANJO YA CORONA YAPINGWA
Zaidi ya Polisi 3,000 na Maofisa wengine wa usalama wa Ufaransa waliuzunguka Mji Mkuu wa Ufaransa Paris Jumamosi ikiwa ni jumamosi ya tatu y...
MTOTO WA GADDAFI AUTAKA URAIS LIBYA
Kwenye list ya habari kubwa za wiki hii imo hii ya Saif al-Islam Mtoto wa aliyekua Rais wa Libya Muammar Muhammad Abu Minyar al-Gaddafi am...
ASKOFU GWAJIMA: ANAYETAKA ACHANJWE, ASIYETAKA AHESHIMIWE
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema kuwa watu ambao hawataki kupewa chanjo ya Covid-19 waheshimiwe kwa kuwa chan...