} });
 
TANZANIA YAPOKEA MKOPO WA TILIONI 2.7
TANZANIA YAPOKEA MKOPO WA TILIONI 2.7

  Waziri wa fedha na mpipango Dkt. Mwigulu Nchemba amepokea mkopo wa shilingi tilioni 2.7 kutoka Benki ya Dunia (WB). Makabidhiano hayo yame...

Read more » Soma zaidi »

MBOWE MAJANGA HAYAISHI
MBOWE MAJANGA HAYAISHI

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe amefiwa na mama mkwe wake, Johara Mtei ambaye alikuwa akipatiwa mati...

Read more » Soma zaidi »

WATOTO WAWILI WA FAMILIA MOJA WAFARIKI KATIKA AJALI YA MOTO
WATOTO WAWILI WA FAMILIA MOJA WAFARIKI KATIKA AJALI YA MOTO

Watoto wawili wa familia moja wakazi wa Tarakea wilayani Rombo wamefariki baada ya nyumba yao waliyokuwa wakiishi kuungua kwa moto. Akitoa t...

Read more » Soma zaidi »

SIKUMBUKI KUSHTAKIWA KWA KUJIFANYA USALAMA WA TAIFA -SABAYA
SIKUMBUKI KUSHTAKIWA KWA KUJIFANYA USALAMA WA TAIFA -SABAYA

  Lengai Ole Sabaya, aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, amedai hakumbuki kushtakiwa kwa kujifanya ofisa Usalama wa Taifa wala kuhojiwa na Tume...

Read more » Soma zaidi »

WAZIRI MWIGULU AKIFUNGUKA FEDHA ZILIZOKUSANYWA KATIKA TOZO “TUMEKUSANYA BILIONI 8” (+VIDEO)
WAZIRI MWIGULU AKIFUNGUKA FEDHA ZILIZOKUSANYWA KATIKA TOZO “TUMEKUSANYA BILIONI 8” (+VIDEO)

  NI Agosti 20, 2021 ambapo waziri wa Fedha Dr Mwigulu Nchemba anazungumza na Waandishi wa habari muda huu kuhusu miradi pamoja na Tozo. “Bi...

Read more » Soma zaidi »

AGIZO LA MAJALIWA LATEKELEZWA, ALIEKUWA MKURUGENZI WA TEMEKE AFIKISHWA MAHAKAMANI (+VIDEO)
AGIZO LA MAJALIWA LATEKELEZWA, ALIEKUWA MKURUGENZI WA TEMEKE AFIKISHWA MAHAKAMANI (+VIDEO)

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) leo Ijumaa, imemfikisha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam aliyekuwa Mkuruge...

Read more » Soma zaidi »

TALIBAN WAFANYA MSAKO NYUMBA KWA NYUMBA
TALIBAN WAFANYA MSAKO NYUMBA KWA NYUMBA

  Wanamgambo wa Taliban wameanza oparesheni mpya ya kuwatafuta watu waliofanya kazi katika vikosi vya NATO na Serikali ya zamani ya Afghanis...

Read more » Soma zaidi »

MKURUGENZI KIZIMBANI KUMCHAFUA MAJALIWA
MKURUGENZI KIZIMBANI KUMCHAFUA MAJALIWA

Mfanyakazi wa Kampuni ya MMJ Steel Ltd, Adamu Thabit (28) na Mkurugenzi wa Bongo News YouTube, Heri Said (29), wamefikishwa katika Mahakama ...

Read more » Soma zaidi »

LIVE:WAZIRI WA FEDHA DR MWIGULU NCHEMBA ANAZUNGUMZA KUHUSU TOZO NA MAKATO KATIKA MIAMALA MUDA HUU
LIVE:WAZIRI WA FEDHA DR MWIGULU NCHEMBA ANAZUNGUMZA KUHUSU TOZO NA MAKATO KATIKA MIAMALA MUDA HUU

Read more » Soma zaidi »

RAIS MWINYI AFANYA UTEUZI ZANZIBAR AGOSTI 19, 2021
RAIS MWINYI AFANYA UTEUZI ZANZIBAR AGOSTI 19, 2021

  Rais wa Znz na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Hussein Ali Mwinyi ameivunja Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Bima la Zanzibar (ZIC)...

Read more » Soma zaidi »

HABARI KUBWA KWENYE MAGAZETI YA LEO IJUMAA 20 AGOSTI, 2021
HABARI KUBWA KWENYE MAGAZETI YA LEO IJUMAA 20 AGOSTI, 2021

Read more » Soma zaidi »
 
Top