Uongozi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC umekanusha taarifa za kufanyika kwa Tamasha la Simba Day siku ya Jumamosi (Agosti 28). ...
Divine Radio Live
UDAHILI SHAHADA YA KWANZA KATIKA TAASISI ZA ELIMU YA JUU KUANZA AGOSTI 24
Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Prof. Charles Kihampa ametangaza kufunguliwa kwa Awamu ya Pili ya Udahili wa Shahada...
MASHAHIDI 24 VIELELEZO 19 KESI YA MBOWE NA WENZAKE
Mashahidi 24 na vielelezo 19, wanatarajia kutoa ushahidi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na M...
“NYUMBA ZA UDONGO ZILIZOEZEKWA KWA NYASI HAZIHUSIKI NA KODI YA MAJENGO”- TRA
Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi wa TRA, Richard Kayombo leo Agosti 23, 2021 amezungumza kuhusu mfumo mpya wa ulipaji wa kodi ...
WAFANYAKAZI WATANO WA TRA WAFARIKI AJALINI (+PICHA)
Wafanyakazi watano wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) wamefariki dunia kwa ajali ya gari aina ya land cruiser lililogonga kwa nyuma Lori ain...
WAPIGADEBE, BODABODA MARUFUKU KULAZIMISHA ABIRIA KUSHUKIA KITUO KIKUU CHA MABASI DODOMA
Na Faustine Gimu Galafoni - Dodoma Mkuu wa Wilaya ya Dodoma mjini, Jabir Shekimweri amepiga marufuku kitendo cha wapigadebe na bodaboda ki...
MBARONI KWA TUHUMA ZA KUMUUA MTOTO WA KAKA YAKE
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara, Kamishna Msaidizi Mkazi wa Mtaa wa Silaloda Mji wa Mbulu mkoani Manyara, Harold Hhando anashikiliwa na Je...
POLISI WASITISHA IBADA KUMWOKOA ASKOFU
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limesitisha ibada iliyokuwa ikiendelea katika Kanisa la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Rungwe kufua...
ASKOFU GWAJIMA: NITAKWENDA KAMATI YA BUNGE KUSEMA UKWELI
Mbunge wa Kawe na Askofu wa Kanisa Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amekiri kupokea barua ya wito wa kuitwa kwenye Kamati ya Haki, Maadil...
RAIS SAMIA “SUALA LA CHANJO YA COVID-19 NA WANAMICHEZO HAJAMCHANJWA NAOMBA MKAFANYE”
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Kombe la Ushindi la Michuano ya Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati kwa Vijana wenye Umri chini ya Mi...
RAIS SAMIA ANAPOKEA KOMBE LA CECAFA (UNDER 23) IKULU DSM (+VIDEO)
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Kombe la Ushindi la Michuano ya Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati kwa Vijana wenye Umri chini ya ...