Rais Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Polisi Tanzania kukaa na wadau kuangalia uwezekano wa kurekebisha sheria ya kuweka mtu mahabusu...
MKURUGENZI TUME YA TEHAMA AZINDUA TUZO
Mkurugenzi Tume ya Tehama, Samson Mwela, leo Agosti 25, 2021 amezindua Tuzo za TEHAMA Nchini ambapo tuzo hizo washiriki watapendekezwa na ...
NABI AOMBA MUDA WA KUANDAA KIKOSI CHAKE
Kocha mkuu wa Young Africans, Nassredine Mohamed Nabi ametua nchini jana Jumanne (Agosti 24) na kutamka kwamba bado hajapata muunganiko kati...
MTIBWA SUGAR, KAGERA SUGAR ZAMUWANIA IBRAHIM AME
Beki wa kati Ibrahim Ame amefunguka, baada ya uongozi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC kumpa ruhusa ya kutafuta changamoto mpya kw...
KAPOMBE, NYONI WAPATA MSAMAHA KAMBINI
Kocha wa Timu ya Taifa (Taifa Stars) Kim Poulsen amewasamehe na kukubali kuwapokea wachezaji wa Simba SC Shomar Kapombe na Erasto Nyoni. Jan...
KIHAMIA AJIUZULU UJUMBE YOUNG AFRICANS
Katika hali ya Mshtuko Mjumbe wa kamati ya utendaji wa Young Africans Athuman Kihamia ametangaza kujiuzulu nafasi yake ndani ya klabu hiyo...
RAIS KENYATTA AMTAKA MAKAMU WAKE AJIUZULU UONGOZI
Akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari nchini Kenya, Rais Kenyatta amesema anashangazwa na mwenendo wa naibu wake ambaye anapinga ...
HAJI MANARA AHAMIA YANGA NA FAMILIA YAKE “YANGA INA VIONGOZI…….” (+VIDEO)
Aliyekua Msemaji wa Simba SC Haji Manara ametangaza rasmi kujiunga na Yanga jioni hii Jijini Dar es salaam, ametangaza kuhamia na Familia ...