} });
 

WATU 123,000 WAHAMISHWA KUTOKA AFGHANISTAN
WATU 123,000 WAHAMISHWA KUTOKA AFGHANISTAN

Kurejea madarakani kwa Taliban nchini Afghanistan, kumezilazimu nchi za Magharibi kuondoa haraka raia wao na Waafghan walio katika hatari ku...

Read more » Soma zaidi »

TALIBAN WASHEREHEKEA KUONDOKA KWA MAREKANI
TALIBAN WASHEREHEKEA KUONDOKA KWA MAREKANI

  Wanamgambo wa Taliban wamesherekea baada ya Marekani kuondoa vikosi vyake nchini Afghanistan, hatua hiyo imejiri baada ya majuma kadhaa ku...

Read more » Soma zaidi »

JERRY SLAA AFUNGIWA KUINGIA BUNGENI
JERRY SLAA AFUNGIWA KUINGIA BUNGENI

Kamati ya maadili ya Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, imetoa adhabu ya kutohudhuria mikutano miwili ya Bunge kwa Jerry Slaa Mbunge...

Read more » Soma zaidi »

WAHANDISI 17 WACHUKULIWA HATUA
WAHANDISI 17 WACHUKULIWA HATUA

  Wahandisi 17 wamechukuliwa hatua mbalimbali za kisheria kwa kukiuka maadili na taratibu za taaluma yao kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2020...

Read more » Soma zaidi »

MAHAKAMA KUTOA UAMUZI PINGAMIZI LA MBOWE NA WENZAKE
MAHAKAMA KUTOA UAMUZI PINGAMIZI LA MBOWE NA WENZAKE

  Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi kesho Jumatano Septemba 1, 2021 itaamua pingamizi la Mbowe na wenzake kama ma...

Read more » Soma zaidi »

WATUMISHI ZAIDI YA 4000 WAREJESHWA KAZINI
WATUMISHI ZAIDI YA 4000 WAREJESHWA KAZINI

  Serikali imesema imewarejesha kwenye orodha ya malipo watumishi 4380 walioondolewa kwenye orodha ya malipo ya mishahara kimakosa wakati wa...

Read more » Soma zaidi »

TANZANIA YAPATA SOKO LA UYOGA UHOLANZI
TANZANIA YAPATA SOKO LA UYOGA UHOLANZI

Kampuni maarufu ya Uholanzi, LIMAX B.V. (LimaxGroup) imedhamiria kuwekeza kwenye Sekta ya Uyoga nchini Tanzania kwa kujenga kiwanda cha kusi...

Read more » Soma zaidi »

ASKOFU GWAJIMA ASIMAMISHWA KUSHIRIKI VIKAO VYA BUNGE
ASKOFU GWAJIMA ASIMAMISHWA KUSHIRIKI VIKAO VYA BUNGE

  Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge imesema Askofu Josephat Gwajima hatakiwi kuhudhuria mikutano ya Bunge miwili au isiyopungua m...

Read more » Soma zaidi »

RAIS WA MAREKANI KULIHUTUBIA TAIFA
RAIS WA MAREKANI KULIHUTUBIA TAIFA

Rais wa Marekani Joe Biden leo Agosti 31 anatarajia kulihutubia Taifa baada ya siku 17 za ukoaji wa raia wa Marekani pamoja na wanajeshi wak...

Read more » Soma zaidi »

LIVE: BUNGE LA 12 MKUTANO WA 4 KIKAO CHA KWANZA - DODOMA
LIVE: BUNGE LA 12 MKUTANO WA 4 KIKAO CHA KWANZA - DODOMA
Read more » Soma zaidi »

TAARIFA YA GWAJIMA NA SLAA BUNGENI
TAARIFA YA GWAJIMA NA SLAA BUNGENI

Mbunge wa Ukonga Jerry Slaa (kushoto) na Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima (kulia) Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linaendelea...

Read more » Soma zaidi »

MWANA FA AELEZA KILICHOTOKEA AJALI ALIYOPATA
MWANA FA AELEZA KILICHOTOKEA AJALI ALIYOPATA

  Mbunge wa jimbo la Muheza Hamis Mwinjuma maarufu Mwana FA, amepata ajali ya gari eneo la Mkambalani mkoani Morogoro jana Agosti 31, 2021 u...

Read more » Soma zaidi »

MAMA, DADA WA HAMZA WAACHIWA, WATANO BADO
MAMA, DADA WA HAMZA WAACHIWA, WATANO BADO

Wakati mama na dada wa marehemu Hamza Mohammed wakiachiliwa baada ya mahojiano, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Mu...

Read more » Soma zaidi »

MUONEKANO WA SHILOLE WAZUA GUMZO
MUONEKANO WA SHILOLE WAZUA GUMZO

Mume wa msanii Shilole, Rommy 3D ameonyesha kutofurahishwa na wanaoponda muonekano wa unene wa mke wake huyo, na kuvunja ukimya kwa wote wan...

Read more » Soma zaidi »

MWANAMUZIKI WA UINGEREZA MARCUS BIRKS AFARIKI KWA CORONA
MWANAMUZIKI WA UINGEREZA MARCUS BIRKS AFARIKI KWA CORONA

Msanii wa muziki nchini Uingereza Marcus Birks(40) amefariki dunia akiwa hospitali anatibiwa Corona. Birks alikua ni katika watu waliokataa ...

Read more » Soma zaidi »

MTAMBO WA KUKAUSHA MBAO WAZINDULIWA
MTAMBO WA KUKAUSHA MBAO WAZINDULIWA

  Mtambo wa kwanza wa kisasa wa kukausha nguzo za umeme katika nchi za Afrika Mashariki na Kati umezinduliwa na Waziri wa Nishati, Dkt. Meda...

Read more » Soma zaidi »

HABARI KUBWA KWENYE MAGAZETI YA LEO JUMANNE 31 AGOSTI, 2021
HABARI KUBWA KWENYE MAGAZETI YA LEO JUMANNE 31 AGOSTI, 2021

 

Read more » Soma zaidi »
 
Top