Katibu Mkuu wa Umoja wa Muziki Tanzania (TAMUFO) Stella Joel, ambaye pia ni muimbaji wa muziki wa injili. WANAMUZIKI wakali wa Muziki wa Inj...
WADANGANYIFU MITIHANI DARASA LA SABA WAONYWA
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amewataka wanafunzi wa darasa la saba kuepuka udanganyifu katika mitihani...
SHINYANGA: ACHINJWA KWA DENI LA SH 400,000
MKAZI wa Majengo Sokola, katika Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, Gongo Charles (30), ameuawa kwa kuchinjwa na watu wanaodaiwa kumdai Sh....
TUZO ZA TEHAMA KUFANYIKA OKTOBA 20
Mkurugenzi wa Tume ya Tehama Tanzania Samson Mwela amesema shughuli ya utoaji tuzo wa taasisi, makampuni na watu binafsi waliofanya vizuri k...
WAZIRI BASHUNGWA ATOA MAAGIZO KWA MAKATIBU TAWALA
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Innocent Bashungwa amewaagiza Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya kutekeleza maagizo yaliyotole...
BUNGE LA 12 MKUTANO WA NNE KIKAO CHA 5 , TAREHE 06/09/2021
BUNGE LA 12 MKUTANO WA NNE KIKAO CHA 5 , TAREHE 06.09.2021 RATIBA: I.DUA II.HATI ZA KUWASILISHA MEZANI - WAZIRI WA MAMBO YA NDAN...
JAJI MUTUNGI:MAKONGAMANO YA KISIASA YASIMAME
Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Francis Mutungi, amevitaka vyama vya siasa kusimamisha makongamano na mikutano mbalimbali, ili kupi...
JACOB ZUMA AONDOLEWA GEREZANI
Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma ameruhusiwa kutoka gerezani na kumalizia kifungo chake akiwa nyumbani kutokana na matatizo ya kia...
BITEKO ASISITIZA LESENI KWENYE MILIPUKO YA MADINI
Waziri wa Madini, Doto Biteko amewataka wachimbaji wadogo wa madini kufuata Sheria, Taratibu na Miongozo inayosimamia Sekta ya Madini kabla ...
JAJI ELINAZA LUVANDA AJITOA KESI YA UGAIDI INAYOMKABILI MBOWE
Jaji Elinaza Luvanda wa Mahakama Kuu Divisheni ya makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi aliyekutwa anaisikiliza kesi ya Uhujumu Uchumi namba ...
DUNIA YALAANI MAPINDUZI GUINEA
Umoja wa Afrika, Marekani, Ufaransa na jumuiya ya Kiuchumi ya nchi za magharibi mwa Afrika (ECOWAS) zimelaani mapinduzi ya kijeshi nchini ...
MAPINDUZI: WANAJESHI WAMKAMATA RAIS WA GUINEA
Rais wa Guinea, Alpha Condé yuko matatani baada ya kusambaa kwa kipande cha video kikimuonesha amezungukwa na wanajeshi ambao wamedai kuwa...
AL-SAAD GADDAFI ATOKA GEREZANI
Wizara ya sheria nchini Libya imethibitisha kuachiwa kwa Al-Saad Gaddafi mtoto wa aliyekuwa Rais wa zamani wa Libya Moammar Gaddafi, kutoka ...
JESHI LA GUINEA LATANGAZA AMRI YA KUTOTOKA NJE NYAKATI ZA USIKU
Baada ya vikosi vya Jeshi la Guinea kutangaza kuipindua serikali ya nchi hiyo iliyokuwa chini Rais Alpha Conde, Jeshi hilo limetoa amri ya k...
WABUNGE WAJENGEWA UELEWA KUHUSU UVIKO 19
Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wametakiwa kujifunza kuhusu Masuala ya Ugonjwa wa UVIKO-19 ili kuweza kuwafafanuliwa wananchi w...