Uongozi wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto umefanya mabadiliko ya kitengo cha ujenzi kwa kukisuka upya ili kuwez...
WATANZANIA WAOMBWA KUACHA KUKUMBATIA TAMADUNI ZA KIGENI
Serikali imewataka Watanzania kuacha kukumbatia tamadumi za kigeni, hususani vijana ambao ndio wamekuwa chanzo kikubwa cha mmomonyoko wa m...
IBADA MAALUMU YA KUWAOMBEA HAYATI MAGUFULI, MKAPA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Ajira na wenye Ulemavu Jenista Mhagama, ameeleza uwepo wa ibada ya kuwaombea Hayati Baba wa Taifa Mwl. ...
KATIBU MKUU CCM AFANYA MAZUNGUMZO NA ZITTO KABWE
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amefanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Ndg...
WAFUNGWA 41 WAFARIKI GEREZA LIKITEKETEA KWA MOTO
Watu wapatao 41 wamefariki baada ya moto kutokea katika gereza katika gereza la Indonesia lililopo pembezoni mwa Mji Mkuu wa Jakarta. Moto h...
RAIS SAMIA ASIMIKWA RASMI KUWA MKUU WA MACHIFU TANZANIA (+PICHA)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesimikwa rasmi kuwa Mkuu wa Machifu Tanzania leo tarehe 08 Septemba, 2021 kati...
KUKUTWA NA BANGI, MIRUNGI SASA NI KOSA LA JINAI
Bunge la Jamhuri ya Muungano limepitisha muswada wa sheria unaotamka kuwa kukutwa na bangi, mirungi sasa ni kosa la jinai. Mwanasheria...
MBARONI KWA KUUZA WATOTO KWA SH 20,000
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawashikilia watu watatu (majina yamehifadhiwa) kwa tuhuma za kuwatorosha na kuwauza watoto 13 wenye umri w...
TANZANIA KUPATA SH1.3 TRILIONI ZA KUPAMBANA NA UVIKO-19
Bodi ya Utendaji ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) imekubali kuipa Tanzania dola za Marekani milioni 567.25 (Sh1.3 trilioni) ambazo ni ...
MANARA: FISTON, AUCHO NA DJUMA HAWATACHEZA
Uongozi wa klabu ya Young Africans umethibitisha kuwakosa wachezaji wao watatu ambao hawataruhusiwa kucheza mchezo wa Mkondo wa kwanza hatua...
WAZIRI BASHUNGWA AIPONGEZA TAIFA STARS
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Innocent Bashungwa, amewapongeza wachezaji wa timu ya Taifa (Taifa Stars) kwa ushindi wa mab...
WIZARA YA AAFYA YAVUNJA KITENGO CHA UJENZI
Uongozi wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imekivunja kitengo cha ujenzi ili kukisuka upya na kuweza kuendana na...
RAIS SAMIA APEWA JINA JIPYA NA MACHIEF
Umoja wa Machifu Tanzania (UMT) umempa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan jina la kichifu la ‘Hangaya’ lenye maan...
LIVE KISESA: RAIS SAMIA AWASILI MWANZA KWENYE TAMASHA LA MILA NA UTAMADUNI
RAIS Samia Suluhu Hassan, leo Septemba 08, ameshiriki tamasha la utamaduni lililofanyika katika uwanja wa Redcross Kisesa mkoani Mwanza.
RAIS MWINYI AVUNJA BODI ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwinyi ameivunja bodi ya ushauri ya kudhibiti vileo Zanzibar. Taarif...
EXCLUSIVE: MAISHA YA HAJI MANARA NJE YA MPIRA, NDOA ZAKE 3, KUZALIWA KWAKE ULAYA, MSHAHARA MPYA YANGA NA MENGINE
Ulikua unafahamu kwamba Msemaji mpya wa Yanga Haji Manara hakuzaliwa Tanzania? ilikuaje akazaliwa huko Ulaya? maisha baada ya hapo? Wake...