} });
 
SALUNI YAAMRIWA KUMLIPA MWANAMITINDO SH627 MILIONI KWA KUMNYOA VIBAYA
SALUNI YAAMRIWA KUMLIPA MWANAMITINDO SH627 MILIONI KWA KUMNYOA VIBAYA

New Delhi, India (AFP).  Saluni nchini India imeamriwa kumlipa mwanamitindo zaidi ya dola 271,000 za Kimarekani (sawa na takriban Sh627.4 mi...

Read more » Soma zaidi »

BUNGE LAJADILI UJERUMANI KULIPA FIDIA MAUAJI YA KIMBARI
BUNGE LAJADILI UJERUMANI KULIPA FIDIA MAUAJI YA KIMBARI

  Bunge nchini Namibia litajadili makubaliano kati ya nchi hiyo na Ujerumani katika hatua ya kulipa fidia ya wahanga wa mauaji ya kimbari ya...

Read more » Soma zaidi »

MWANDISHI WA ITV/RADIO KANDONGA AFARIKI DUNIA
MWANDISHI WA ITV/RADIO KANDONGA AFARIKI DUNIA

Mwandishi wa Habari wa ITV/Radio One Mkoa wa Songwe, Gabriel Kandonga amefariki Dunia katika ajali ya gari iliyotokea leo asubuhi katika ene...

Read more » Soma zaidi »

MBOWE AFIKISHWA MAHAKAMANI
MBOWE AFIKISHWA MAHAKAMANI

  Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake wamefikishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uhuj...

Read more » Soma zaidi »

CHUO KIKUU NCHINI CANADA KIMEANZISHA SOMO KUHUSU DRAKE NA THE WEEKND
CHUO KIKUU NCHINI CANADA KIMEANZISHA SOMO KUHUSU DRAKE NA THE WEEKND

NI Septemba 24, 2021 ambapo chuo kikuu kimoja kiitwacho  Ryerson University  huko Toronto nchini Canada kimeanzisha somo jipya liitwalo  Dec...

Read more » Soma zaidi »

WALIOUWA NA KUMZIKA MTOTO AKIWA AMEKAA WAHUKUMIWA
WALIOUWA NA KUMZIKA MTOTO AKIWA AMEKAA WAHUKUMIWA

Tabibu Nyundo na Thobias Mtakiyicha, waliohukumiwa kunyongwa Mahakama Kuu Kanda ya Kigoma, imewahukumu watu wawili kunyongwa hadi kufa baada...

Read more » Soma zaidi »

WAWILI WAKAMATWA NA MENO YA TEMBO KILO 25
WAWILI WAKAMATWA NA MENO YA TEMBO KILO 25

  JeshiI la Polisi mkoa wa Kipolisi Rufiji, linawashikilia watuhumiwa wawili kwa kukutwa na nyara za serikali, zinazodaiwa ni meno ya tembo ...

Read more » Soma zaidi »
 
Top