Wapambe wa Bunge wakimuongoza Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba kuingia bungeni kwa ajili ya kuwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali...
Divine Radio fm
JINSI SERIKALI ITAKAVYOOKOA MATUMIZI YA SH500 BILIONI
Katika mkakati wa kubana matumizi, Serikali inatarajia kudhibiti mambo kadhaa ikiwemo ununuzi na matumizi ya magari. Hayo amebainisha ...
WAMILIKI WA MAGARI YALIYOUA IRINGA WANATAFUTWA
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini Wilbroad Mutafungwa Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini Wilbroad Mutafungwa, ame...
AUSTRALIA YAFUZU KOMBE LA DUNIA QATAR
Australia imekuwa timu ya 31 kukata tiketi ya kufuzu kwa michuano hiyo mikubwa ya soka duniani.Katika muendelezo wa kumalizia michezo ya m...
URUSI YAONYA KUISAMBARATISHA ULAYA NZIMA KWA MABOMU YA NYUKLIA
Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev akiwa na Rais wa sasa wa Urusi Vladimir Putin NCHI ya Urusi imeonya kuwa kuna uwezekano wa Bara la U...
SH15.8 BILIONI KUGHARAMIA MIRADI YA MAENDELEO
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema inakadiriwa kuwa jumla ya Sh15.8 bilioni sawa na asilimia 36.2 ya Bajeti yote ya Se...
VIDEO: MDEE AIBANA SERIKALI MADENI YA MIFUKO YA HIFADHI, SERIKALI YATOA MAELEZO
Mbunge wa Viti Maalumu, Halima Mdee ameibana Serikali akitaka kujua mpaka sasa inadaiwa kiasi gani cha fedha ambazo imekopa kutoka Mifuko ya...
VIDEO - WAITARA ALIKOROGA KWA SPIKA, APEWA ONYO
Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara ameingia kwenye mtego wa Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson akitajwa kuwa amefanya kosa la utovu mkub...
MFUMUKO WA BEI WAFIKIA ASILIMIA 3.7
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema katika mwaka 2021 mfumuko wa bei uliongezeka kwa wastani wa asillimia 3.7 ikilingan...
DENI LA TAIFA LAFIKIA SH69.44 TRILIONI
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema hadi kufikia Aprili 2022, deni la Serikali lilikuwa Sh69.44 trilioni ikilinganishwa n...
WABUNGE VING'ANG'ANIZI WA TAARIFA WAONYWA
Naibu Spika wa Bunge Mussa Zungu, amewaonya wabunge wenye tabia za kuingilia wenzao wanapokuwa wanachangia ama kuuliza maswali na kutaka t...
LIVERPOOL YAKUBALI KUMSAJILI NUNEZ KWA BILIONI 242
Klabu ya Liverpool ya England imefikia makubaliano ya kumsajili mshambuliaji Darwin Nunez wa klabu ya Benfica ya Ureno kwa ada ya uhamisho...
YANGA SC HATUJAZOEA KUSHINDWA - HAJI MANARA
Klabu Yanga imewataka mashabiki wa klabu hiyo kujitokeza kwa wingi kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu Juni 15, 2022 siku ya Jumatano dhidi ya k...
MAUAJI MENGINE YA KUTISHA, MUME AMUUA MCHEPUKO KISHA YEYE KUNYWA SUMU
Marehemu Bunanzi Kulwa KATIKA hali ya kusikitisha Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Bunanzi Kulwa maarufu kama Ngosha Mkazi wa Mbagal...
FARID MUSSA AONGEZA MKATABA WA MIAKA MIWILI JANGWANI, ATAMBULISHA MENEJA MPYA
Farid Mussa amesaini Mkataba wa miaka miwili Jangwani MCHEZAJI wa Yanga Farid Mussa ameongeza mkataba wa miaka miwili ambao utamfanya aendel...
BAADA YA PANYA ROAD DAR, PANYA KALOWA WAIBUKA DODOMA
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini Mbunge wa Viti Maalum, Fatuma Toufiq ameibua sakata la kikundi cha uhalifu maarufu Pa...
KANISA KKKT RUANDA LAFUNGWA, WAUMINI WATAWANYWA
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limeingilia kati na kutimua maandamano na vurugu zilizotokea katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania ...
RAIBU ATAMANI TENA UMEYA MOSHI, ACHUKUA FOMU
Juma Raibu akizungumza baada ya kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Meya Manispaa ya Moshi, Raibu aliondolewa kwenye nafasi hiyo baada ya kup...
MSEMAJI WA SERIKALI: "BEI ZA UMEME HAZIJAONGEZEKA, SERIKALI INAMTAFUTA HUYO ALIYETENGENEZA HUO UZUSHI"
KINA MDEE, CHADEMA KUCHUANA KORTINI LEO
Makada wa zamani 19 wa Chadema na wabunge wa viti maalumu, waliovuliwa uanachama wa chama hicho, Halima Mdee na wenzake 18, leo wanataraji...
WANAHARAKATI WA KIISLAM NCHINI INDIA WAVUNJIWA NYUMBA ZAO
SERIKALI ya India imefikia maamuzi ya kuvunja nyumba za wanaharakati na waandamanaji wa Kiislam katika Jimbo la Utter Pradesh walioandamana ...
JAJI MKUU WA KENYA ATAKA RAIS UHURU KENYATA ANG’OLEWE MADARAKANI KWA KUKIUKA KATIBA
Jaji Mkuu wa Kenya Martha Koome. Jaji Mkuu wa Kenya Martha Koome anataka mahakama ya rufaa kutangaza kwamba Rais Uhuru Kenyata amekiuka kati...
PAPA FRANCIS AOMBA RADHI KWA KUHAIRISHA ZIARA YAKE DRC CONGO NA SUDANI KUSINI, APANGA KUFANYA ZIARA HIYO HARAKA IWEZEKANAVYO
Papa Francis akiongozwa kukaa kwenye kiti tayari kwa ajili ya kuongoza Misa PAPA Francis alisema Jumapili kuwa anatumai kuzuru Jamhuri ya Ki...
MCHINA WA MIAKA 42 ANATAFUTWA KWA MAUAJI
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamtafuta mtuhumiwa Zheng Lingyao (42), raia wa China na mkazi wa jiji hilo kwa tuhuma za ku...
KANISA LA CGRA LINAKUKARIBISHA KWENYE KONGAMANO LA NENO LA MUNGU
Kanisa la Christian Gospel Revival Assembly (CGRA) limeandaa Kongamano kubwa la Neno la Mungu na Kongamano la akinamama. Kongamano hili lita...