Serikali ya Zanzibar imesema inashirikiana kwa karibu na ubalozi wa Ukraine uliopo nchini Kenya kuangalia ni namna gani itawasafirisha wat...
Divine Radio Live
WANANCHI WA KATA YA MWALUGULU WAMPONGEZA MBUNGE
Na Nyamiti Alphonce Nyamiti Wananchi wa kata ya Mwalugulu katika halimashauri ya Msalala wamepongeza jitihada za Mbunge wa Jimbo hilo Mh I...
DKT.MWINYI: MAGONJWA ADIMU YANAHITAJI JUHUDI ZA PAMOJA KUYAKABILI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dokta Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itahakikisha kuwepo sera na sheria madhub...
MKUU WA MKOA WA SIMIYU AMEWATAKA WAZAZI KUJENGA TABIA YA KUJITOLEA
Na Daniel Manyanga - Simiyu Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, David Kafulila amewataka wananchi Wilayani Maswa kuendelea kuchangia fedha kwa aj...
SIDO WAANZA MPANGO WA KUWAKOPESHA WAJARISIAMALI KATAVI
Na Faustine Matalange - Katavi Shirika la kukuza viwanda vidogovidogo SIDO katika mkoa wa Katavi limeanza Mpango wa kuwakopesha wajasiri...
MAJESHI KUTUMIA TEHAMA KUPAMBANA NA MAKOSA YA KIMTANDAO
Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhandisi Kundo Mathew ameyataka majeshi yote nchini kuwekeza kwenye sekta ya T...
ASHTAKIWA KWA KUMCHOMA VISU MUMEWE MARA 140
Mwanamke mmoja anayeitwa Joan Burke (61), kutoka jimbo la Florida nchini Marekani, ameshtakiwa kwa mauaji kufuatia tuhuma za kumchoma na kis...
AKAMATWA KWA KUOA WANAWAKE 17
Polisi katika jimbo la Bhubaneshwar nchini India wamemkamata mwanaume anayedaiwa kuwalaghai wanawake 17 kwa kujifanya daktari na wakati mw...
MALKIA ELIZABETH AAMBUKIZWA VIRUSI VYA CORONA
Malkia Elizabeth wa Uingereza amekutwa na maambukizi ya virusi vya corona hii leo. Kasri la Buckingham limesema, Malkia ana dalili za kawaid...
WATOTO 7 WAUWAWA KWENYE SHAMBULIO LA ANGA NIGER
Watoto saba wameuawa nchini Niger katika shambulio la anga la jeshi la Nigeria likiwalenga “majambazi”. Gavana wa eneo hilo Chaibou Abouba...
MBASI YA UMEME KUTUMIA BARABARA ZA BRT
Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali inatarajia kutumia barabara za mabasi yaendayo haraka (BRT) katika mkakati wake mpya wa kuanzish...
WAZIRI NAPE ATOLEA UFAFANUZI KUHUSU BUNGE KUTOONESHWA LIVE
Miongoni aliyoyazungumza ni kuhusiana na kutuoneshwa kwa matangazo ya live yanayohusu Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. ‘Spika wa ...
SPIKA AWEKA MSIMAMO UBUNGE WA HALIMA MDEE NA WENZAKE
Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa wabunge 19 wa viti maaalum wa CHADEMA wapo bungeni kihalali. Amesema hayo jana Fe...
SIMBA SC YAMSAMEHE MORRISON AREJESHWA KIKOSINI
Club ya Simba SC imetangaza kumrejesha kikosini mchezaji wake Bernard Morrison raia wa Ghana baada ya mchezaji huyo kuomba radhi. Simba SC...
VAR KUGUNGWA KWENYE VIWANJA VITANO
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa jana Februari 14, 2022 ametoa maelekezo kwa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) na S...
WAPENZI WATAKIWA KUVAA BARAKOA WAKATI WA TENDO LA NDOA
Maafisa wa afya nchini Thailand wametoa masharti kadhaa kwa wapendanao na siku ya wapendanao hasa katika kushiriki tendo la ndoa ili kuzui...
AUWAWA KWA KUCHOMA QURAN
Mtu mmoja ameuawa na kundi la watu kwa madai ya kuchoma kurasa za Quran katikati mwa nchi ya Pakistan, Khanewal, katika tukio la hivi kari...
LIVE: SPIKA TULIA AKIZUNGUMZA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI
Spika Tulia akizungumza na Wahariri wa vyombo vya habari katika ukumbi wa Msekwa bungeni mjini Dodoma 14 februari 2022
UWANJA WAPEWA JINA LA NYOTA WA LIVERPOOL SENEGAL SADIO MANE
Uwanja umepewa jina la Sadio Mane katika mji wa kusini-magharibi wa Sedhiou baada ya kuisaidia Senegal kupata mafanikio yao ya kwanza. Msham...
KONTENA LAMWANGUKIA DEREVA BODABODA NA KUFA
MTU mmoja ambaye ni Dereva Bodaboda anasadikiwa kufariki dunia baada ya kuangukiwa na kontena lenye nafaka katika eneo la Tabata Bima, jij...
SIMBA SC YAWASHUKURU MASHABIKI
Uongozi wa Simba SC umetoa taarifa ya kuwashukuru Mashabiki waliojitokeza Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya mchezo wa Mzunguuko wa Kwanz...
RELIANTS LUSAJO: NITAENDELEA KUFUNGA
Vita ya ufungaji Bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu 2021/22 inaendelea kuwa ya moto, kufuatia kinara wa sasa Reliants Lusajo kumtumia ...
POINTI 5 ZAIPA KIBURI YANGA KUSEPA NA UBINGWA
MABINGWA mara 27 wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wameweka wazi kuwa pointi 5 ambazo wamewapita wapinzani wao Simba ni nyingi na zinawapa ng...
AHMED ALLY: HUU NI MWANZO TU, MENGINE YANAKUJA
Meneja wa Habari na Mawasilino wa Klabu ya Simba SC Ahmed Ally ametamba kikosi chao kitaendelea kufanya vizuri katika michuano ya kimataifa,...
KIWANGO CHAMPONZA ADAM SALAMBA
Imefahamika kuwa sababu za Mshambuliaji Adam Salamba kuachana na klabu ya JS Saoura, ni kushindwa kuonyesha makali yake tangu walipomsajil...
DICKSON JOB AJUTIA KOSA LAKE
Baada ya kufungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya Shilingi laki tano (500,000), Beki wa kati wa Young Africans Dickson Job ameonesha k...
BABA WA POLISI ALIYEJINYONGA MAHABUSU ATAKA UCHUNGUZI
Wakati Jeshi la Polisi likieleza jinsi mkaguzi msaidizi wa polisi Grayson Mahembe alivyojinyonga akiwa mahabusu, hatua iliyoibua hisia na ma...
RAIS SAMIA ATAKA MAHAKAMA KUTENDA HAKI
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini yaliyofanyika kwenye viwanja vya Chinangali, jijini Dodoma ...
FISTON ABDULRAZACK: SOKA LA BONGO LINANIDAI
Mshambuliaji Mpya wa klabu ya RS Berkane ya Morocco Fiston Abdulrazack amesema bado ana deni katika soka la Bongo, baada ya kushindwa kufiki...