Miongoni aliyoyazungumza ni kuhusiana na kutuoneshwa kwa matangazo ya live yanayohusu Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.
Kwa mfano ikatokea wabunge wanarushiana maneno machafu bungeni (hatuombei) na tumeona baadhi ya wabunge ya wenzetu wanapigana sasa vitu kama vile havipeleki sura nzuri, kupeleka dakika 15 au nusu Saa sio mbaya lakini isipitilize na kuwe na utaratibu kwamba kama kuna jambo fulani la kujadili na wabunge wakaona linafaa tu kujadiliwa ndani. Suhuhisho ni kanuni ya kuendesha studio ya bunge ambayo ni kazi ya bunge” Nape Nnauye, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker
Post a Comment