} });
 


Bwana Yesu asifiwe, kanisa la Christian Gospel Revival Assembly (CGRA) Linakukaribisha kwenye Ibada ya Kusifu na Kuabudu itakayoitwa Healing in Praise and Worship (Uponyaji Katika Sifa na Kuabudu).

Ibada hii itafanyika Tarehe 17 July, 2022 kuanzia Saa 12:00 jioni mpaka Saa 06:00 usiku katika Kanisa la CGRA lililoko eneo la Shunu mjini Kahama.

Waimbaji watakaoshiriki katika Ibada hii ni pamoja na El Gibbor Praise Team, Obeid Mahandule, Kamode Mali Ya Mungu, Shalom Sylax, Adonai Choir, Inuka Uangaze Choir na waimbaji wengine wengi.

Ibada hii itasikika Live kupitia kituo cha matangazo cha Divine Radio FM. 

Kwa mawasiliano zaidi +255745988398. Karibu sana na Mungu akubariki.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top