} });
 


Kanisa la Christian Gospel Revival Assembly (CGRA) limeandaa Kongamano kubwa la Neno la Mungu na Kongamano la akinamama.

Kongamano hili litafanyika kuanzia tarehe 25-31 July, 2022 katika Kanisa la CGRA kila siku kuanzia saa 02:30 asubuhi mpaka saa 07 mchana na baadaye Kongambano la akinamama kuanzia saa 08:00 mchana mpaka saa 12 jioni.

Pia atakuwepo Rais wa Wafanyabiashara Afrika ndugu James Mwang'amba atakayezungumza na wafanyabiashara na wajasiriamali wa Manispaa ya Kahama.

Karibu sana na Mungu akubariki.

Kwa maelekezo zaidi piga simu namba +255754 305 957

 

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top