Maafisa wa afya nchini Thailand wametoa masharti kadhaa kwa wapendanao na siku ya wapendanao hasa katika kushiriki tendo la ndoa ili kuzui...
Divine Radio Live
AUWAWA KWA KUCHOMA QURAN
Mtu mmoja ameuawa na kundi la watu kwa madai ya kuchoma kurasa za Quran katikati mwa nchi ya Pakistan, Khanewal, katika tukio la hivi kari...
LIVE: SPIKA TULIA AKIZUNGUMZA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI
Spika Tulia akizungumza na Wahariri wa vyombo vya habari katika ukumbi wa Msekwa bungeni mjini Dodoma 14 februari 2022
UWANJA WAPEWA JINA LA NYOTA WA LIVERPOOL SENEGAL SADIO MANE
Uwanja umepewa jina la Sadio Mane katika mji wa kusini-magharibi wa Sedhiou baada ya kuisaidia Senegal kupata mafanikio yao ya kwanza. Msham...
KONTENA LAMWANGUKIA DEREVA BODABODA NA KUFA
MTU mmoja ambaye ni Dereva Bodaboda anasadikiwa kufariki dunia baada ya kuangukiwa na kontena lenye nafaka katika eneo la Tabata Bima, jij...
SIMBA SC YAWASHUKURU MASHABIKI
Uongozi wa Simba SC umetoa taarifa ya kuwashukuru Mashabiki waliojitokeza Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya mchezo wa Mzunguuko wa Kwanz...
RELIANTS LUSAJO: NITAENDELEA KUFUNGA
Vita ya ufungaji Bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu 2021/22 inaendelea kuwa ya moto, kufuatia kinara wa sasa Reliants Lusajo kumtumia ...
POINTI 5 ZAIPA KIBURI YANGA KUSEPA NA UBINGWA
MABINGWA mara 27 wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wameweka wazi kuwa pointi 5 ambazo wamewapita wapinzani wao Simba ni nyingi na zinawapa ng...
AHMED ALLY: HUU NI MWANZO TU, MENGINE YANAKUJA
Meneja wa Habari na Mawasilino wa Klabu ya Simba SC Ahmed Ally ametamba kikosi chao kitaendelea kufanya vizuri katika michuano ya kimataifa,...
KIWANGO CHAMPONZA ADAM SALAMBA
Imefahamika kuwa sababu za Mshambuliaji Adam Salamba kuachana na klabu ya JS Saoura, ni kushindwa kuonyesha makali yake tangu walipomsajil...
DICKSON JOB AJUTIA KOSA LAKE
Baada ya kufungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya Shilingi laki tano (500,000), Beki wa kati wa Young Africans Dickson Job ameonesha k...